• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Tanzania Rural and Urban Roads Agency-TARURA
Tanzania Rural and Urban Roads Agency-TARURA

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Muundo wa Taasisi
    • Dira na Dhima
  • Miradi na Programu
    • Project and Program
    • RISE - MAY- 2021
    • TeRMIS
  • Utawala
    • Kurugenzi ya Barabara
      • Sehemu ya Barabara Vijijini
      • Sehemu ya Barabara Mijini
    • Kurugenzi ya Mipango na Miundombinu
      • Sehemu ya Usalama Barabarani
      • Sehemu ya Mipango na Miundombinu ya Barabara
    • Kurugenzi ya Huduma Saidizi
      • Sehemu ya Rasilimali Watu na Utawala
      • Sehemu ya Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini
    • Kitengo cha Uhasibu
    • Kitengo cha Tafiti na Udhibiti Ubora
    • Kitengo cha Teknlojia ya Habari na Takwimu
    • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
    • Kitengo cha Ununuzi
    • Kitengo cha Huduma za Sheria
    • Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano
    • Kitengo cha Mazingira na Maendeleo ya Jamii
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Bajeti na Taarifa za Mapato
    • Fomu Mbalimbali
    • Majarida
    • Vipeperushi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio
    • Maktaba ya Picha
  • Manunuzi
    • Taarifa ya Manunuzi
    • Zabuni za Wazi
    • Tuzo za Zabuni
  • Mitandao ya Barabara
    • Mitandao ya Barabara za Tarura
  • Mikoa
    • Mameneja wa Mikoa
    • Mameneja wa Wilaya

BARABARA ZILIZOHARIBIWA NA MVUA KWIMBA KUANZA KUTENGENEZWA

Posted on: March 12th, 2020

Geofrey A. Kazaula Mvua zilizonyesha kwa muda mrefu nchini zimepelekea kuharibika kwa miundombinu ya barabara ikiwemo Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba ambapo barabara pamoja na Kalavati zimeharibika kutokana na mvua hizo.

Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Josephat Kandege amefanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo Wilayani Kwimba mkoani Mwanza na kujionea jinsi mvua zilivyoharibu barabara zinazosimamiwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA).

Naibu Waziri Kandege ameelekeza Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kufanya matengenezo hasa kwa maeneo yaliyoharibiwa sana na kusababisha wananchi kukosa huduma.

Ameelekeza kuwa, ikibidi yafanyike marekebisho Katika bajeti kwa kuhamishia fedha Katika maeneo yaliyoharibika sana ili yaweze kutengenezwa na huduma ziendelee kutolewa kwa wananchi.

‘‘Natoa maelekezo kuwa kipaumbele sasa kiwe katika maeneo yaliyoharibika sana, kama kuna Mkandarasi anaye endelea na kazi taratibu zifanyike ili kwanza awarejeshee huduma wananchi wakati tukisubiri fedha ya matengenezo” amesema Kandege.

Aidha Kiongozi huyo ameshauri kuundwa kwa vikundi vitakavyokuwa vinasimamia barabara na kuangalia barabara hizo ili kuwezesha upatikanaji wa taarifa za barabara kwa urahisi suala litakalopelekea kufanyika kwa matengenezo ya barabara mapema kabla ya kuharibika sana.

‘‘Wakati mwingine barabara inaanza kuharibika taratibu na kwakuwa taarifa zake hazipatikani kwa wakati, barabara hizo hazitengenezwi  kwa haraka na zinakuja kugundulika baada ya kushindwa kabisa kupitika, mimi naamini kuwa kama tungekuwa tunafanya ukarabati mapema tungepunguza gharama za matengenezo na wananchi kupitia vikundi vyao wangeweza kusimamia moja kwa moja barabara zao’’, amesema Kandege.

Naye Mkurugenzi wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Abdul Digaga amesema kuwa, suala la kuundwa kwa Vikundi vya wananchi vitakavyokuwa vinasimamia barabara litafanyika mara tu baada ya kukamilika kwa miongozo na sera mbalimbali zinazohusiana na barabara.

Naye Mbunge wa Jimbo la Kwimba, Mhe. Shaniff Mansoor ameeleza kuwa, kwa sasa wananchi wanashindwa kusafirisha mazao yao baada ya barabara kuharibiwa na mvua na kuomba kuwa matengenezo yafanyike haraka kwa maeneo yaliyoharibiwa sana.

Matangazo

  • INVITATION FOR TENDERS - DODOMA June 08, 2022
  • TANGAZO LA KAZI -KAGERA April 21, 2022
  • CALL FOR INTERVIEW - MTWARA January 17, 2022
  • CALL FOR AN INTERVIEW - MWANZA December 23, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TARURA YASAINI MIKATABA YA MABILIONI KUIMARISHA MTANDAO WA BARABARA VIJIJINI NA MIJINI

    August 14, 2022
  • MAAGIZO 10 YA RAIS SAMIA KWA TAMISEMI NA TARURA

    August 14, 2022
  • WANANCHI KILOSA WAFURAHIA UJENZI DARAJA LA BEREGA

    August 12, 2022
  • RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KM 40 MUFINDI, IRINGA

    August 11, 2022
  • Angalia zote

Video

Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Barua pepe za Watumishi - TARURA
  • Mfumo wa Maegesho (TeRMIS)
  • Lipia Maegesho (TeRMIS)
  • Mfumo wa eMrejesho

Tovuti Muhimu

  • Wakala wa Barabara
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • OR-TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wizara ya Ujenzi uchukuzi na mawasiliano
  • Utumishi
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Baraza la Mitihani
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Instragram_tarura
  • twitter_tarura
  • Mfumo wa Maegesho (TeRMIS)
  • Mfumo wa eMrejesho

Waliotembelea duniani

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    TANZANIA RURAL AND URBAN ROADS AGENCY (TARURA),TARURA HOUSE GOVERNMENT CITY -MTUMBA

    Anuani ya Posta: P.O BOX 11042, DODOMA

    Simu ya mezani: 026-2963846

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: ceo@tarura.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Waliotembelea

StatCounter

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki @2017 TARURA. Haki zote zimehifadhiwa