• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Tanzania Rural and Urban Roads Agency-TARURA
Tanzania Rural and Urban Roads Agency-TARURA

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Muundo wa Taasisi
    • Dira na Dhima
  • Miradi na Programu
    • Project and Program
    • RISE - MAY- 2021
    • TeRMIS
  • Utawala
    • Kurugenzi ya Barabara
      • Sehemu ya Barabara Vijijini
      • Sehemu ya Barabara Mijini
    • Kurugenzi ya Mipango na Miundombinu
      • Sehemu ya Usalama Barabarani
      • Sehemu ya Mipango na Miundombinu ya Barabara
    • Kurugenzi ya Huduma Saidizi
      • Sehemu ya Rasilimali Watu na Utawala
      • Sehemu ya Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini
    • Kitengo cha Uhasibu
    • Kitengo cha Tafiti na Udhibiti Ubora
    • Kitengo cha Teknlojia ya Habari na Takwimu
    • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
    • Kitengo cha Ununuzi
    • Kitengo cha Huduma za Sheria
    • Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano
    • Kitengo cha Mazingira na Maendeleo ya Jamii
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Bajeti na Taarifa za Mapato
    • Fomu Mbalimbali
    • Majarida
    • Vipeperushi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio
    • Maktaba ya Picha
  • Manunuzi
    • Taarifa ya Manunuzi
    • Zabuni za Wazi
    • Tuzo za Zabuni
  • Mitandao ya Barabara
    • Mitandao ya Barabara za Tarura
  • Mikoa
    • Mameneja wa Mikoa
    • Mameneja wa Wilaya

TARURA TANGANYIKA WAPEWA SIKU 30 KUKAMILISHA UKARABATI DARAJA LA IFUME

Posted on: May 18th, 2022

TARURA TANGANYIKA WAPEWA SIKU 30 KUKAMILISHA UKARABATI DARAJA LA IFUME

Na. Raphael Kilapilo

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor H. Seff ametoa mwezi mmoja kwa TARURA Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi kukamilisha ujenzi wa Daraja la Ifume.

Mhandisi Seff ametoa maagizo hayo  wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi ya barabara katika Mkoa wa Katavi.

“Daraja hili ni muhimu sana kwa wakazi wa hapa kwa shughuli za kiuchumi, hivyo ni lazima mhakikishe kazi hii inakamilika kwa haraka ili wananchi wa kalamsenga na Itunya waweze kusafirisha mazao yao bila kupata usumbufu unaojitokeza kwa sasa, “ alisema Mhandisi Seff.

Alisema kuwa TARURA Makao Makuu itatoa fedha ambazo alielekeza zitumike katika ukarabati wa Daraja hilo, na aliagiza tathmini ifanyike haraka na maombi ya fedha hizo yatumwe ili yafanyiwe kazi kwa haraka.

Pia, ameagiza TARURA Wilaya kuhakikisha wanatoa kwa haraka magogo na uchafu wote ulioletwa na mvua na kusababisha kuziba kwa daraja hilo ili fedha zikija ukarabati ufanyike ndani ya muda wa mwezi mmoja aliotoa.

Naye diwani wa Kata ya Kapalamsenga, Mhe. Jefu Lameki ameushukuru uongozi wa TARURA  kwa kusikia kilio chao kwani wamekuwa wakipata adha kubwa kutokana na kuharibika kwa daraja hilo, na kusema kuwa wanachi watashiriki kikamilifu kuondoa magogo na uchafu katika daraja hilo.

Aidha, Mhandisi Seff alifanya ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya Kapalamsenga -

Ifume kuelekea Bandari ya kareme Tanganyika yenye urefu wa Km 12.1 na kuridhishwa na kazi inavyoendelea, ambapo mpaka sasa ukarabati umefikia asilimia 90.

 “Barabara hii Itasaidia sana katika shughuli za usafirishaji wa mazao na pembejeo  za kilimo na  ni sehemu ya barabara ya kutokea bandari ya Karema hivyo ni barabara muhimu sana,” alisema Mhandisi Seff.

Matangazo

  • INVITATION FOR TENDERS - DODOMA June 08, 2022
  • TANGAZO LA KAZI -KAGERA April 21, 2022
  • CALL FOR INTERVIEW - MTWARA January 17, 2022
  • CALL FOR AN INTERVIEW - MWANZA December 23, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ZIARA YA MTENDAJI MKUU TARURA YALETA FARAJA KWA WANANCHI - KASEKE

    May 19, 2022
  • TARURA TANGANYIKA WAPEWA SIKU 30 KUKAMILISHA UKARABATI DARAJA LA IFUME

    May 18, 2022
  • WATUMISHI TARURA WAHIMIZWA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    May 16, 2022
  • BODI YA USHAURI TARURA YAFANYA UKAGUZI UJENZI WA BARABARA KATIKA MJI WA SERIKALI MTUMBA

    April 29, 2022
  • Angalia zote

Video

Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Barua pepe za Watumishi - TARURA
  • Mfumo wa Maegesho (TeRMIS)
  • Lipia Maegesho (TeRMIS)
  • Mfumo wa eMrejesho

Tovuti Muhimu

  • Wakala wa Barabara
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • OR-TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wizara ya Ujenzi uchukuzi na mawasiliano
  • Utumishi
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Baraza la Mitihani
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Instragram_tarura
  • twitter_tarura
  • Mfumo wa Maegesho (TeRMIS)
  • Mfumo wa eMrejesho

Waliotembelea duniani

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    TANZANIA RURAL AND URBAN ROADS AGENCY (TARURA),TARURA HOUSE GOVERNMENT CITY -MTUMBA

    Anuani ya Posta: P.O BOX 11042, DODOMA

    Simu ya mezani: 026-2963846

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: ceo@tarura.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Waliotembelea

StatCounter

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki @2017 TARURA. Haki zote zimehifadhiwa