• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Tanzania Rural and Urban Roads Agency-TARURA
Tanzania Rural and Urban Roads Agency-TARURA

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Muundo wa Taasisi
    • Dira na Dhima
  • Miradi na Programu
    • Project and Program
    • RISE - MAY- 2021
    • TeRMIS
  • Utawala
    • Kurugenzi ya Barabara
      • Sehemu ya Barabara Vijijini
      • Sehemu ya Barabara Mijini
    • Kurugenzi ya Mipango na Miundombinu
      • Sehemu ya Usalama Barabarani
      • Sehemu ya Mipango na Miundombinu ya Barabara
    • Kurugenzi ya Huduma Saidizi
      • Sehemu ya Rasilimali Watu na Utawala
      • Sehemu ya Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini
    • Kitengo cha Uhasibu
    • Kitengo cha Tafiti na Udhibiti Ubora
    • Kitengo cha Teknlojia ya Habari na Takwimu
    • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
    • Kitengo cha Ununuzi
    • Kitengo cha Huduma za Sheria
    • Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano
    • Kitengo cha Mazingira na Maendeleo ya Jamii
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Bajeti na Taarifa za Mapato
    • Fomu Mbalimbali
    • Majarida
    • Vipeperushi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio
    • Maktaba ya Picha
  • Manunuzi
    • Taarifa ya Manunuzi
    • Zabuni za Wazi
    • Tuzo za Zabuni
  • Mitandao ya Barabara
    • Mitandao ya Barabara za Tarura
  • Mikoa
    • Mameneja wa Mikoa
    • Mameneja wa Wilaya

TARURA YAADHIMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO KWA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI

Posted on: April 27th, 2018


Na: Afisa Uhusiano Tarura, Dodoma

Kumekuwa na changamoto nyingi katika usimamizi wa barabara zilizokuwa chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa. Kutokana na changamoto hizo Chama cha Mapinduzi kialiamua kuingiza uanzishwaji wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini kwenye Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015 kifungu cha 39 (a) (iii) kuwa na chombo kitakachosimamia Barabara hizo na hivyo kutatua changamoto zilizopo.

Serikali ilianzisha rasmi Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (Tanzania Rural and Urban Roads Agency-TARURA) kwa Sheria ya Wakala wa Serikali Sura ya 245 na kutangazwa rasmi katika Gazeti la serikali Na. 211 la tarehe 12/5/2017 na kufunguliwa rasmi mnamo tarehe 2/7/2017 na Mheshimiwa Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa Kassim (Mbunge).

Serikali inayo matarajio makubwa kwa Tarura katika kusimamia barabara zilizo chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa “District Roads” kwa ufanisi kama zinavyotafsiriwa kwenye Sheria ya barabara Na. 13 ya mwaka 2007 kifungu cha 12 (3) (a)-(c).

Wakala umechukua majukumu ya kiutendaji kuhusiana na ujenzi na matengenezo ya matandao wa barabara za vijijini na mijini ambayo yalikuwa yakitekelezwa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Hivyo, Wakala unayo mipango ya kimkakati katika kutatua changamoto za barabara zilizokuwepo huko nyuma na kuhakikisha barabara zote (Community Roads, Collector Roads and Feeder Roads) ambazo zinaunganisha Wilaya, Kata na Vijiji zinaboreshwa.

Mtandao wa barabara za Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa mujibu wa takwimu za barabara hadi kufikia tarehe 31 Machi, 2018, mtandao wa barabara za Serikali za Mitaa ni kilomita 108,942.2 ambao ni zaidi ya nusu ya barabara za kitaifa (National Roads). Kati ya hizo kilomita 52,000 tayari zinatambulika kisheria na kwa sasa uhakiki unaendelea ili mtandao wote utambulike.

Tarura inasimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwepo miradi ya matengenezo ya barabara ambazo zinatekelezwa kwa kutumia fedha za mfuko wa barabara (Road Fund), miradi ya kuondoa vikwazo katika barabara (Removal of Road Bottlenecks Program) inayofadhiliwa na Shirika la maendeleo la Uingereza (DFID), miradi inayofadhiliwa na Jumuia ya Umoja wa Ulaya (EU), miradi inayotekeleza mpango wa uongezaji wa thamani ya mazao kwa kukarabati miundombinu ya kilimo ikiwemo barabara, magala na masoko vijijini (Market Infrastructure Value Addition and Rural Finance-MIVARF), MIVARF inafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na program ya ‘FEED FOR FUTURE’ mradi ambao unafadhiliwa na Shirika la Misaada ya Watu wa Marekani.

Barabara za Tarura zinachochea uchumi wa mwananchi mmoja mmoja, hivyo kuinua uchumi wa Taifa wenye misingi imara. Barabara hizi zinachochea Kilimo katika ngazi ya jamii pamoja na kuongeza thamani ya mazao katika masoko, pia zinaboresha ufikiaji wa huduma za kijamii kama vile afya, shule, maji na masoko, hivyo kuwa na jamii imara kiafya kiakili na kiuchumi.

Matangazo

  • INVITATION FOR TENDERS - DODOMA June 08, 2022
  • TANGAZO LA KAZI -KAGERA April 21, 2022
  • CALL FOR INTERVIEW - MTWARA January 17, 2022
  • CALL FOR AN INTERVIEW - MWANZA December 23, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TARURA YASAINI MIKATABA YA MABILIONI KUIMARISHA MTANDAO WA BARABARA VIJIJINI NA MIJINI

    August 14, 2022
  • MAAGIZO 10 YA RAIS SAMIA KWA TAMISEMI NA TARURA

    August 14, 2022
  • WANANCHI KILOSA WAFURAHIA UJENZI DARAJA LA BEREGA

    August 12, 2022
  • RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KM 40 MUFINDI, IRINGA

    August 11, 2022
  • Angalia zote

Video

Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Barua pepe za Watumishi - TARURA
  • Mfumo wa Maegesho (TeRMIS)
  • Lipia Maegesho (TeRMIS)
  • Mfumo wa eMrejesho

Tovuti Muhimu

  • Wakala wa Barabara
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • OR-TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wizara ya Ujenzi uchukuzi na mawasiliano
  • Utumishi
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Baraza la Mitihani
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Instragram_tarura
  • twitter_tarura
  • Mfumo wa Maegesho (TeRMIS)
  • Mfumo wa eMrejesho

Waliotembelea duniani

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    TANZANIA RURAL AND URBAN ROADS AGENCY (TARURA),TARURA HOUSE GOVERNMENT CITY -MTUMBA

    Anuani ya Posta: P.O BOX 11042, DODOMA

    Simu ya mezani: 026-2963846

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: ceo@tarura.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Waliotembelea

StatCounter

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki @2017 TARURA. Haki zote zimehifadhiwa