• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Tanzania Rural and Urban Roads Agency-TARURA
Tanzania Rural and Urban Roads Agency-TARURA

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Muundo wa Taasisi
    • Dira na Dhima
  • Miradi na Programu
    • Project and Program
    • RISE - MAY- 2021
    • TeRMIS
  • Utawala
    • Kurugenzi ya Barabara
      • Sehemu ya Barabara Vijijini
      • Sehemu ya Barabara Mijini
    • Kurugenzi ya Mipango na Miundombinu
      • Sehemu ya Usalama Barabarani
      • Sehemu ya Mipango na Miundombinu ya Barabara
    • Kurugenzi ya Huduma Saidizi
      • Sehemu ya Rasilimali Watu na Utawala
      • Sehemu ya Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini
    • Kitengo cha Uhasibu
    • Kitengo cha Tafiti na Udhibiti Ubora
    • Kitengo cha Teknlojia ya Habari na Takwimu
    • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
    • Kitengo cha Ununuzi
    • Kitengo cha Huduma za Sheria
    • Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano
    • Kitengo cha Mazingira na Maendeleo ya Jamii
  • Machapisho
    • Taarifa Mbalimbali
    • Bajeti na Taarifa za Mapato
    • Fomu Mbalimbali
    • Majarida
    • Vipeperushi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa vyombo vya habari
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio
    • Maktaba ya Picha
  • Manunuzi
    • Taarifa ya Manunuzi
    • Zabuni za Wazi
    • Tuzo za Zabuni
  • Mitandao ya Barabara
    • Mitandao ya Barabara za Tarura
  • Mikoa
    • Mameneja wa Mikoa
    • Mameneja wa Wilaya

TARURA YAFUNGUA BARABARA YA UNYIANGA-MWANKOKO, MANISPAA YA SINGIDA

Posted on: December 22nd, 2021

TARURA YAFUNGUA  BARABARA YA UNYIANGA-MWANKOKO, MANISPAA YA SINGIDA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu ametembelea na kukagua ujenzi wa barabara mbadala ya Unyianga-Mwankoko kwa kipande cha Ziwa Kindai yenye urefu wa Kilomita 2.6 iliyopo Kata ya Unyianga katika Manispaa ya Singida.

Barabara hiyo inajengwa kwa gharama ya shilingi Mil.263 ni barabara mbadala na mpya baada ya barabara ya awali kukatika Kutokana na mvua zilizonyesha mwaka 2019-2020.

Waziri Ummy ambapo amewapongeza  viongozi wa mkoa huo hasa Mkuu wa Mkoa Dkt.Binilith Mahenge kwa kuwa na maono ya kufungua  barabara mpya zitakazosaidia wanachi katika usafirishaji na pia kupendezesha mji wa Singida.

Aidha katika ukaguzi huo Waziri Ummy aliwashauri viongozi wa Mkoa wa Singida kusimamia upimaji na upangaji wa mji wa Singida na kuachana na makazi holela.

‘Mkoa wa Singida unapaswa kuwa Sebule ya Makao Makuu Dodoma yaani watu wakitaka kupumzika kufanya vikao na Mikutano wanatakiwa wawaze Singida na sio Mikoa mingine kwa kuwa ni karibu na Dodoma sasa ni vyema mkajipanha kuupendezesha mkoa huu sambamba na  miundombinu inayoendelea kujengwa Mkoa utavutia zairi.

Barabara hiyo inahudumia wakazi wa Kata ya Unyianga- Mwankoko na Kata ya Mtamaa pia inaunganisha wakazi wa Wilaya ya Ikungi eneo la Minyughe na Manispaa ya Singida

Matangazo

  • INVITATION FOR TENDERS - DODOMA June 08, 2022
  • TANGAZO LA KAZI -KAGERA April 21, 2022
  • CALL FOR INTERVIEW - MTWARA January 17, 2022
  • CALL FOR AN INTERVIEW - MWANZA December 23, 2021
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • TARURA YASAINI MIKATABA YA MABILIONI KUIMARISHA MTANDAO WA BARABARA VIJIJINI NA MIJINI

    August 14, 2022
  • MAAGIZO 10 YA RAIS SAMIA KWA TAMISEMI NA TARURA

    August 14, 2022
  • WANANCHI KILOSA WAFURAHIA UJENZI DARAJA LA BEREGA

    August 12, 2022
  • RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KM 40 MUFINDI, IRINGA

    August 11, 2022
  • Angalia zote

Video

Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Barua pepe za Watumishi - TARURA
  • Mfumo wa Maegesho (TeRMIS)
  • Lipia Maegesho (TeRMIS)
  • Mfumo wa eMrejesho

Tovuti Muhimu

  • Wakala wa Barabara
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • OR-TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha na Mipango
  • Wizara ya Ujenzi uchukuzi na mawasiliano
  • Utumishi
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Baraza la Mitihani
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Instragram_tarura
  • twitter_tarura
  • Mfumo wa Maegesho (TeRMIS)
  • Mfumo wa eMrejesho

Waliotembelea duniani

world map hits counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    TANZANIA RURAL AND URBAN ROADS AGENCY (TARURA),TARURA HOUSE GOVERNMENT CITY -MTUMBA

    Anuani ya Posta: P.O BOX 11042, DODOMA

    Simu ya mezani: 026-2963846

    Simu ya Kiganjani:

    Barua pepe: ceo@tarura.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Waliotembelea

StatCounter

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki @2017 TARURA. Haki zote zimehifadhiwa